Chati ifuatayo inaonyesha ada na tozo mbalimbali zilizosamehewa na serikali
kupitia Wizara ya Kilimo katika maeneo ya Mazao, Ushirika, Mifugo na Uvuvi. Hii ni fursa kwa wakulima, wavuvi na wafugaji kutumia
vizuri nafasi ya misamaha hii kuongeza uzalishaji, usindikaji na biashara kwa
ujumla.
Tasnia
|
Eneo
|
Idadi ya Ada na Tozo zilizoondolewa
|
Eneo husika
|
Mazao
|
Kahawa
|
17
|
Ada kwa ajili ya leseni za: kuuza kahawa ya kijani kwa makampuni
na vyama, kuendesha maghala, kuuza premium coffee kwa vyama na makampuni,
kukoboa kahawa, kununua kahawa, uendeshaji wa minada
Tozo kwa ajili ya fomu za kuomba:
Kuendesha maghala, kukoboa kahawa,
kuuza kahawa (premium), kuuza kahawa ya kijani, kusindika kahawa, kununua
kaha
|
Sukari
|
16
|
Ada za kibali cha kuingiza sukari ya
viwandani na ile ya kuziba pengo (Sugar Gap), ada ya usajili wa
wafanyabiashara wa sukari ya kawaida na viwandani (wakubwa , wadogo na
wakati), ada ya kibali cha uingizaji wa sukari ya viwandani nay a kawaida,
ada ya leseni mbalimbali kwa uzalishaji wa sukari hapa nchini, ada ya marudio
ya leseni mbalimbali kwa wazalishaji wa sukari na ada mbalimbali za leseni ya
kuchakata miwa.
|
|
Tumbaku
|
10
|
Tozo ya Baraza la Tumbaku, ada ya
leseni ya kuuza tumbaku nje, leseni ya kununua tumbaku mbichi, Kodi ya leseni
ya kununua Tumbaku, Dhamana ya Benk Kuu (1%),
ada ya form ya maombi, Mchango wa ushirika wa mkoa, mchango wa chama
cha msingi, gharama za masoko.
|
|
Mbegu
|
7
|
Tozo kwa ajili ya:- usajili wa muuza
mbegu, fomu ya majaribio ya DUS,
fomu ya majaribio ya NPT, Ukaguzi
mashambani, Majaribio ya mbegu, kibali cha kusafirisha mbegu, Tangazo la
kusafirisha au kuagiza mbegu.
|
|
Mbolea
|
4
|
Tozo kwa ajili ya Usajili wa
mfanyabiashara,
Ada ya leseni, Tozo kwa ajili ya
Usajili wa mzalishaji wa mbolea,
Ada kwajili ya Usajili Mbolea
|
|
Korosho
|
2
|
Ada ya leseni ya kununulia korosho,
Gharama za magunia na Kamba
|
|
Pamba
|
2
|
Tozo ya kituo cha kununulia pamba,
tozo ya maendeleo ya elimu
|
|
Chai
|
1
|
Gharama za uendeshaji wa vyama vya
wakulima (sh 5 kwa kilo)
|
|
Mfuko wa
Pembejeo
|
1
|
Ada ya nyaraka za kuombea mkopo
ambayo ni 1% ya mkopo
|
|
Ushirika
|
Ushirika
|
20
|
Aina 5 za Ada ya usajili wa
mabadiliko ya masharti ya vyama vya
Msingi, Pili, Kati, Shirikisho na vyama vya Ushirika kwa ajili ya
uwekezaji wa pamoja.
Aina 5 za Ada ya uchunguzi kwenye Rejista ya vyama vya Msingi, Pili, Kati, Shirikisho na vyama vya
Ushirika kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja.
Aina 5 za Ada ya uchunguzi kwenye Rejista ya vyama vya Msingi, Pili, Kati, Shirikisho na vyama vya
Ushirika kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja.
Aina 5 za Ada ya uchunguzi wa taarifa za vyama vya Msingi, Pili, Kati, Shirikisho na vyama vya
Ushirika kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja.
Aina 5 za Ada kwa ajili ya utoaji wa
nakala za nyaraka za vyama vya Msingi, Pili, Kati, Shirikisho na vyama vya
Ushirika kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja.
|
Mifugo
|
Maziwa
|
4
|
Ada ya usajili wa wadau, Ukusanyaji
wa maziwa, usambazaji wa maziwa, Export permit
|
Nyama
|
4
|
Usajili wa wafugaji, usajili wa
minada, Export clearance Certificates, Ada ya usajili wa wafanyabiashara wa
mifugo na nyama
|
|
Huduma
za Afya
|
17
|
Tozo ya Kibali cha kuingiza ngozi za
ng’ombe, Tozo ya Kibali cha kuingiza ngozi za mbuzi/kondoo, tozo ya kibali cha afya cha kusafirisha
Ng’ombe, tozo ya kibali cha afya cha kusafirisha Mbuzi au Kondoo, tozo ya
kibali cha afya cha kusafirisha punda au farasi, tozo ya kibali cha kusafirisha
ngamia,nguruwe, vifaranga, mayai (Fertilized), mayai ya kula, kuku/kanga,
nyama pori, ndege pori, maziwa, mbwa na paka
|
|
Uvuvi
|
Export
Royalty
|
1
|
Export Royalty
|
Maendeleo
ya uvuvi
|
4
|
Movement Permit, ada yaukaguzi wa
kiwanda au ghala, Tozo ya cheti cha afya, ada ya usajili wa chombo
|
|
Jumla
|
110
|
|
Chanzo ACT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni