Jumatano, 8 Septemba 2021

MKUTANO WA MWAKA WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la NGOs imeandaa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 29-30 Septemba, 2021. Mkutano huu utafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma ukiongozwa na KauliMbiu isemayo: "Kuimarisha Mchango wa NGOs katika Maendeleo ya Taifa". Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yanaalikwa kujisajili kupitia: https://register.nacongo.or.tz

Bonyeza hapa kujisajili



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Kauli mbiu yetu

BUFADESO kwa maendeleo ya wakulima

MUHIMU

Makala na picha zinazochapishwa katika blogu hii ni kwa ajili ya taarifa na kumbukumbu za Shirika la Bunda Farmers Development Support Organization (BUFADESO)
Hairuhusiwi kutumia yaliyomo katika blogu hii (HASA PICHA) kwa shughuli zozote bila ruhusa ya mmiliki wa blogu hii ambaye ni BUFADESO