Alhamisi, 13 Oktoba 2022

TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI BUFADESO

 KAMATI YA UCHAGUZI ya shirika la BUFADESO inapenda kuwatangazia wanachama vikundi vya shirika kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la BUFADESO utafanyika kati ya tarehe 13 hadi 16 Disemba 2022. Uchaguzi huo utajumuisha Nafasi zifuatazo:

1)      Mwenyekiti wa Shirika (Nafasi moja)

2)      Katibu wa Shirika (Nafasi moja)

3)      Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi (Nafasi saba)

BUFADESO inawatangazia wajumbe wote wa vikundi wanachama na wanachama binafsi wenye sifa na weledi wa kujaza nafasi hizo kutuma maombi ya kugombea nafasi hizo.

SIFA ZA MWOMBAJI:

1.      Awe mwanakikundi wa kikundi mwanachama hai wa shirika la BUFADESO au mwanachama binafsi wa shirika.

2.      Ajue kusoma na kuandika.

3.      Asiwe muajiriwa wa serikali.

4.      Awe mbunifu mwenye ari ya maendeleo.

5.      Awe mwaminifu na muadilifu.

6.      Awe anayekubali mabadiliko anapopewa changamoto mbalimbali.

 

Mwanakikundi mwenye sifa tajwa na mwenye mwamko wa kuongoza atume barua ya maombi ikiambatana na fomu ya maombi ya kugombea nafasi ya Uongozi iliyojazwa kwa usahihi, inayopatikana kwa watumishi, wawezeshaji jamii, na viongozi wa vikundi:- Fomu hii italipiwa baada ya kutuma maombi kiasi cha Tsh 10,000/- (elfu kumi tu) kupitia akaunti ya shirika benki ya NMB yenye jina la MTANDAO WA WAKULIMA BUNDA namba 30110004259. (Wanawake na vijana wanahamasishwa kugombea nafasi hizo)

 

Maombi yatumwe kwa;

Kamati ya Uchaguzi,

BUFADESO,

S.L.P.95,

BUNDA

 

Mwombaji atume maombi kwa sanduku la posta lililotajwa hapo juu au umpe mwezeshaji jamii au mtumishi wa BUFADESO au afikishe maombi yake katika Ofisi za BUFADESO zilizopo Sazira.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14/11/2022 saa kumi na moja jioni.

MUHURI BUFADESO.jpg

Imetolewa na

 

 

KAMATI YA UCHAGUZI

BUFADESO

Jumatano, 30 Machi 2022

TAARIFA KUTOKA WCF

 Greetings from WCF!

Please be reminded to use the Fund’s Online Notification System (ONS) for submission of all occupational accidents, diseases or deaths that may arise out of or in the course of employment of your employees.

To submit incident notifications kindly enrol in ONS by visiting  “portal.wcf.go.tz  select “Occupational Incident Notification” then select “Register Here….” For further assistance, do not hesitate to contact Maulana Kitambazi 0735 352539.

Please be informed that the Fund will not receive manually submitted notifications.

 

Tafadhali kukumbuka kutumia mfumo wa (ONS) kuwasilisha katika Mfuko taarifa ya ajali, ugonjwa au kifo kinachotokana na kazi.  Kuwasilisha taarifa hiyo tafadhali jisajili kwenye mfumo (ONS) kwa kutembelea “portal.wcf.go.tz na kuchagua neno “Occupational Incident Notification” kisha kuchagua neno “Register Here….”  

Kwa msaada zaidi tafadhali wasiliana na Maulana Kitambazi kupitia nambari 0735 352539.

Mfuko hautapokea taarifa ya ajali, ugonjwa au kifo kinachotakana na kazi nje ya mfumo (ONS).

Jumanne, 22 Februari 2022

Policy brief launch by Agroforestry Network: Agroforestry and youth – possibilities and barriers

 

Wednesday 10 March 2022 from 12:00 noon to 01:00 pm (CET)

 

Online event. Register here to receive meeting link.

 

 

Youth are in a transitional phase between being a child and becoming an adult – a transition that in itself can be a challenge. Young farmers living in rural areas today face additional challenges, such as mounting unemployment combined with the effects of the COVID-19 pandemic, increasing food insecurity and aggravating impacts of climate change. Agroforestry – a farming technique that combines cultivating crops, pasture and trees – can address some of these challenges and also contribute to several Sustainable Development Goals (SDGs).

During this lunch webinar, Agroforestry Network launches the policy brief Agroforestry and youth – possibilities and barriers, showcasing the role of agroforestry for young farmers’ livelihoods in sub-Saharan African countries. The brief outlines concrete recommendations for policymakers on how to use agroforestry in an inclusive manner to create new opportunities for youth in food systems.

Programme

Session I

Introduction by Eva Ã…berg, Director of Vi Agroforestry/Vi-skogen

Key note speaker Stockholm+50 and youth, Anna Axelsson, Sida

Session II

Presentation of the policy brief, Alice Castensson and Jonathan Eng, Siani

Session III

Panel dialogue, moderated by Matilda Palm, Coordinator Agroforestry Network. Panelists:

  • Akilimali Ndatabaye Ephrem, Université Officielle de Bukavu, DRC
  • Stephano Msuya, MVIWAKI (National Networks of Farmers’ Groups in Tanzania)
  • Celina Butali, Regional Gender, Children and Youth Advisor, Vi Agroforestry/Vi-skogen
  • Representative from Sthlm+50 Youth Task Force (to be decided)

Session IIII

Conclusions and way forward, Matilda Palm, Coordinator Agroforestry Network

 

For any questions, reach out to Matilda Palm, matilda.palm@viskogen.se

Welcome!

Kauli mbiu yetu

BUFADESO kwa maendeleo ya wakulima

MUHIMU

Makala na picha zinazochapishwa katika blogu hii ni kwa ajili ya taarifa na kumbukumbu za Shirika la Bunda Farmers Development Support Organization (BUFADESO)
Hairuhusiwi kutumia yaliyomo katika blogu hii (HASA PICHA) kwa shughuli zozote bila ruhusa ya mmiliki wa blogu hii ambaye ni BUFADESO