Mazingira ya kustawi
Ni mmea wenye mizizi
mirefu kwenda chini, na huweza kuongeza nitrojeni
Huhitaji mazingira ya joto, kuanzia joto 25-40 sentigrade, haipendi baridi hivyo piga vizuri hesabu zako ni ,muda gani unataka kupanda hadi kuvuna. Kwa tanzania hapa maeneo mengi ya sehemu zenye joto yanakubali mazao haya

Ni mimea inayoweza kuchanganywa
na ulezi, au mtama na mahindi
Nafasi ya upandaji
MITA 1 KWA 1.5M , KUTOKA MCHE HADI MCHE 1M, NA MSTARI HADI MSTARI 1.5 M, Katikati yake unaweza unaweza kuchanganya na mazao mengine, kama vile maharage, au hata Mahindi
MITA 1 KWA 1.5M , KUTOKA MCHE HADI MCHE 1M, NA MSTARI HADI MSTARI 1.5 M, Katikati yake unaweza unaweza kuchanganya na mazao mengine, kama vile maharage, au hata Mahindi
MUDA WA KUOTA MBEGU
Tangu kupanda mbegu hadi kuota huchua siku 4 hadi 21, na baada ya hapo mimea huanza kukua polepole, hivyo hakikisha unazuia magugu
Tangu kupanda mbegu hadi kuota huchua siku 4 hadi 21, na baada ya hapo mimea huanza kukua polepole, hivyo hakikisha unazuia magugu
MUDA WA KUKOMAA
Tangu kupanda hadi
kutoa maua,huchukua siku 60 hadi 80, na baada ya maua huchukua siku 50-75
kutengeneza mbegu zilizokomaa, hivyo huchukua kati ya miezi 5 hadi 6 kukomaaa
IDADI YA MEBEGU KWA
EKA 1
KILO 10 hutosha kwa
ekari moja, kama unaweka mbegu mbilimbli kwa shimo, na kilo 5 hutosha kwa ekari
moja kama unaweka moja moja kwa shimo
WADUDU WA HARIBIFU
1. Funza wa matunda
2. Funza wa kukata mimea ikiwa michanga
3.Mnyauko (Fusarium Wilt)
5. Ukungu-Fangasi
2. Funza wa kukata mimea ikiwa michanga
3.Mnyauko (Fusarium Wilt)
5. Ukungu-Fangasi
Madawa ya kuzuia waduu
. 1. Karate 2. Match, 3. Phyrinex, 4. uduall, 5. Seecron, Moja wapo ya hizo dawa zitakusaidia sana, LITA 3 ZA DAWA ZITAKUTOSHA,
. 1. Karate 2. Match, 3. Phyrinex, 4. uduall, 5. Seecron, Moja wapo ya hizo dawa zitakusaidia sana, LITA 3 ZA DAWA ZITAKUTOSHA,
Madawa ya kutumia
kuzuia ukungu ni kama vile
1. Ridomil Gold 2. Ebony (Mancozeb +Metalaxyn), 3, Ivory, 4. Nordox etc Moja wapo ya hizo dawa zitakusaidia sana, LITA MBILI /KILO MBILI ZA DAWA ZITAKUTOSHA
1. Ridomil Gold 2. Ebony (Mancozeb +Metalaxyn), 3, Ivory, 4. Nordox etc Moja wapo ya hizo dawa zitakusaidia sana, LITA MBILI /KILO MBILI ZA DAWA ZITAKUTOSHA
MBOLEA ZA KUPANDIA
Wakati wa kupanda,
mboleya kama vile Yara Miller Winner, au NPK, DAP, MiNJINGU AU TSP, zitakufaa,
angalu mifuko 2 kwa eka 1
WAKATI WA KUKUZIA
Utahitaji mbolea kama vile, CAN, UREA, AU NPK, Au Yara Miller winner, Mifuko 3 itakutosha
Utahitaji mbolea kama vile, CAN, UREA, AU NPK, Au Yara Miller winner, Mifuko 3 itakutosha
MAVUNO
Mavuno kwa eka moja ni
kati ya tani 1 hadi 4, yaani ( gunia 10 hadi 40 za uzito wa kilo 100). Hii
inategemeana na rutuba ya ardhi katika shamba husika.
na
Baraka KAMESE
Mratibu-BUFADESO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni