Jumatano, 26 Aprili 2017

KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI


Kila baada ya miezi mitatu, Bodi ya wakurugenzi wa BUFADESO hukutana kupokea, kutathimini na kujadili shughuli za shirika ikiwemo miradi inayofanyika kwa wanachama wa shirika hili.
Picha na Baraka Kamese

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Kauli mbiu yetu

BUFADESO kwa maendeleo ya wakulima

MUHIMU

Makala na picha zinazochapishwa katika blogu hii ni kwa ajili ya taarifa na kumbukumbu za Shirika la Bunda Farmers Development Support Organization (BUFADESO)
Hairuhusiwi kutumia yaliyomo katika blogu hii (HASA PICHA) kwa shughuli zozote bila ruhusa ya mmiliki wa blogu hii ambaye ni BUFADESO