Shirika la BUNDA FARMERS DEVELOPMENT SUPPORT ORGANIZATION linapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa MKUTANO MKUU WA MWAKA 2017 utafanyika mwezi Disemba tarehe 14 Alhamisi kuanzia saa Nne Kamili Asubuhi katika ukumbi wa SHALOM HALL Bunda.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Mwenyekiti: 0762090160
Makamu Mwenyekiti: 0757821423
Katibu: 0687574351
Katibu Msaidizi: 0785597709
Limetolewa na
Edward CHACHA
Mwenyekiti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni