Angalia kipindi cha Jarida Maridhawa la Star Tv kilichoandaliwa na Shirika la BUFADESO kupitia mradi wa uhamasishaji wa Usawa wa Jinsia kupitia Nyimbo na Ngoma za Kitamaduni/Kikabila/Kwaya.
Kauli mbiu yetu
BUFADESO kwa maendeleo ya wakulima
MUHIMU
Makala na picha zinazochapishwa katika blogu hii ni kwa ajili ya taarifa na kumbukumbu za Shirika la Bunda Farmers Development Support Organization (BUFADESO)Hairuhusiwi kutumia yaliyomo katika blogu hii (HASA PICHA) kwa shughuli zozote bila ruhusa ya mmiliki wa blogu hii ambaye ni BUFADESO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni