Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu akihutubia viongozi wa mashirika wadau wa Vi AGROFORESTRY ambao watatekeleza mradi wa miaka mitano (2018-2022) wa ALIVE
Mwenyekiti wa shirika la BUFADESO (wa kwanza kushoto aliyekaa) katika mkutano wa uzinduzi wa MRADI WA ALIVE uliofanyika tarehe 13 -15 Machi 2018 katika ukumbi wa E.L.C.T BUKOBA
Mwenyekiti wa shirika, Bw.Edward CHACHA na Mratibu wa Shirika, Ndg.Baraka KAMESE wakisaini mkataba wa MRADI WA ALIVE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni